1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Mahujaji wa kiislamu wakiwa msikitini Makkah

Masuala ya Jamii

Salamu za Idd el Hajj

Ni wakati mwingine mpendwa msikilizaji wa kukupa fursa ya wewe kutuma salamu zako za Idd el Hajj.

Kama unavyojua Sikukuu ya Idd el Hajj haiko mbali hivo Ikiwa utapenda kutuma salamu za Idd kwa ndugu na marafiki basi fanya hima ututumie kwa njia ya email: kiswahili@dw.de

Fanya hima usichelewe!!!