1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
DW Sprachkurse Deutsch wieso nicht Brandingbanner Deutsche Welle, Sprachkurse/Bildungsprogramme, (c) DW Auslandsmarketing 2012, Benutzung nur für Deutschkurse!

Wieso nicht?

Chagua Tukio

Kila tukio limejitosheleza na unaweza kulisikiliza kwa jinsi utakavyo. Maandishi pia yanapatikana kwa anayetaka kuyachapisha.

Pata Wieso nicht? kama Podcast

Unaweza kutumia mafunzo haya ya kusikiliza kama sehemu ya mtalaa wako binafsi. Jisajili hapa upate matukio yote ya Wieso nicht?

Kwa wanafunzi

Wieso nicht?

Somo la lugha moja la Wieso nicht? linajumuisha mkusanyiko wa mandhari za kuvutia katika maisha ya kila siku katika Ujerumani, Austria na Uswisi. Somo hili linajumuisha mifano 20 ya kusikiliza inayohusu matatizo ya kimapenzi, ziara kwenda kwa daktari wa meno, watu wanaoishi nyumba moja na pia kwenda kwenye maduka makubwa. Somo hili lililotayarishwa kwa ushirikiano wa Taasisi ya Goethe, linashughulikia kiwango cha B1 cha Tathmini ya Ulaya ya Ujuzi wa Lugha na linawalenga wanafunzi wa kiwango cha juu. Somo la Wieso nicht? litakusaidia kuimarisha na kuendeleza ujuzi ulio nao wa Kijerumani.