1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Brandingbanner Radio D

Hatua ya ufanisi A1

Radio D

Hapa utapata matukio yote ya Radio D, kipindi kipya cha Deutsche Welle cha kujifunza lugha kwa redio. Kipindi hicho kimewalenga wasiojua kabisa au walio na ujuzi mdogo wa lugha ya Kijerumani. Ufahamu wa kusikiliza umezingatiwa zaidi na kila makala ya kusikiliza inaandamana na maandishi yake. Somo hili limetayarishwa kwa ushirikiano wa Taasisi ya Goethe na linalenga viwango vya A1 na A2 vya Tathmini ya Ulaya ya Ujuzi wa Lugha.

Pata Radio D kama Podcast

Tumia fursa ya podcast zetu zisizolipiwa na ujifunze Kijerumani- au tumia vipindi hivyo katika darasa lako. Jisajili hapa upate matukio yote ya Radio D!