1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
DW Sprachkurse Deutsch Marktplatz Brandingbanner Deutsche Welle, Sprachkurse/Bildungsprogramme, (c) DW Auslandsmarketing 2012, Benutzung nur für Deutschkurse!

Marktplatz

Matukio

Je tayari unakielewa Kijerumani vizuri? Ungependa kufahamu mada za Kijerumani zinazohusiana na uchumi na biashara? Sura zote 26 za somo hili zinakufunza lugha unayohitaji kufanya biashara nchini Ujerumani. Kila sura imeandamana na kijalada cha kusikiliza pamoja na maandishi.

Pata Marktplatz kama Podcast

Tumia fursa ya podcast zetu zisizolipiwa na ujifunze Kijerumani- au tumia vipindi hivyo darasani mwako. Jisajili hapa upate matukio yote ya Marktplatz.

Mahali pa kazi

Marktplatz – Kijerumani cha Biashara

Je unataka kuanzisha biashara ya kioski na hujui itakuwaje? Ama umenunua gari lililotumika ambalo haliendi kwa kasi uliyotarajia? Utapata maswala haya na mengine mengi kila siku kwenye somo la Marktplatz la lugha ya Kijerumani ya kibiashara. Somo hili litakupa msamiati unaofaa katika mazingira tofauti yanayohusiana na biashara. Somo hili linashughulikia kiwango cha B2 cha Tathmini ya Ulaya ya Ujuzi wa Lugha na linalenga wanafunzi wa lugha wanaokifahamu Kijerumani vizuri.