1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
DW Sprachkurse Deutsch Interaktiv Brandingbanner Deutsche Welle, Sprachkurse/Bildungsprogramme, (c) DW Auslandsmarketing 2012, Benutzung nur für Deutschkurse!

Wanafunzi wa lugha

Deutsch Interaktiv

Fahamu mwelekeo mpya wa masomo! Kozi yetu shirikishi ya Kijerumani isiyo na malipo inawafaa wanafunzi wanaoanza kujifunza na wale ambao wana ujuzi kidogo wa Kijerumani. Kozi hii yenye sehemu 30 ni kwa ajili ya mtu kujifunza binafsi linashughulikia viwango vya A1 na B1 vya Tathmini ya Pamoja ya Ulaya ya Ujuzi wa Lugha. Kanda halisi za video, picha na kanda za kusikiliza zinaonyesha hali halisi ya maisha katika Ujerumani, Austria na Uswisi. Ili kukusaidia zaidi katika harakati zako za kujifunza mwenyewe, makala za ziada, mazoezi na mitihani imejumuishwa. Somo hili pia linajumuisha jedwali la sarufi, kamusi yenye maneno elfu 7 na mwongozo wa matamshi.

Zusatzmaterialien

Grammatikübersicht

Hier findet ihr eine nach Themen sortierte Übersicht aller Grammatikübungen des interaktiven Online-Sprachkurses.