Ni wakati mwingine mpendwa msikilizaji wa kukupa fursa ya wewe kutuma salamu zako za Idd el Hajj.
Jamii ya Waislamu ya Rohingya waliopo nchini Myanmar na Bangladesh ni miongoni mwa jamii zinazodharauliwa na kutengwa sana kabisa duniani kwa mujibu wa rikodi zilizopo. Nini sababu na ni ipi hatima yao?
Wakala wa viwango wa Standard & Poors umeushusha uwezo wa Uhispania kukopesheka hadi kiwango cha chini kabisa, hali inayotishia kuwa nchi hiyo nayo inaweza kutumbukia kwenye mzozo wa madeni hivi punde.
Mkutano wa kila mwaka kati ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na Benki ya Dunia unaanza mjini Tokyo ukitarajiwa kuwa na uwazi zaidi na huku tayari IMF ikitabiri kupwaya kwa uchumi wa dunia ndani ya kipindi kijacho.
Amnesty International na Greenpeace wamezitaka Uingereza kufungua kesi dhidi ya kampuni ya Kimataifa ya Trafigura kufuatia kitendo chake cha kutupa taka za sumu nchini Cote d´Ivoire mwaka 2006 kwenye mji mkuu wa Abdjan.
Katika siku za karibuni, vyombo vinavyopaswa kulinda usalama nchini Tanzania vimekuwa vikilaumiwa kwa kujihusisha kwenye vitendo vya kuuvunja huo usalama wenyewe.
Katika jamii nyingi za Afrika, hasa Afrika ya Mashariki, bado wazee wanakuwa wagumu kuwaacha vijana wao kuondoka nyumbani na kuanzisha maisha yao wenyewe hata wanapofikia umri wa miaka 18, kama si kwa kuoa au kuolewa.
Fuatilia michezo ya kuigiza kwa vijana kupitia DW ujuwe maisha ya kila siku barani Afrika.
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) linasema mfumo wa elimu wa Ujerumani una nafasi zaidi ya kumtayarisha mwanafunzi kuwa mbunifu kuliko mifumo ya mataifa mengine.
Tembelea DW katika Facebook
Tembelea DW katika Twitter
Kipi kinachowafanya mamilioni ya watu kuhama makwao na kukimbilia ugenini?