1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
DW Sprachkurse Mission Europe Brandingbanner Deutsche Welle, Sprachkurse/Bildungsprogramme, (c) DW Auslandsmarketing 2012, Benutzung nur für Deutschkurse!

Hatua ya ufanisi A1

Mission Europe

Jitose kwenye ulimwengu wa lugha kwa matukio matatu ya kuvutia. Mission Berlin, Misja Kraków na Mission Paris zinakupa njia ya kuvutia ya kujifunza lugha kupitia vipindi 26. Unafaidi uhondo wa matukio hayo matatu kutegemea mchezaji wa kompyuta (tarakilishi) anayeungana na wahusika halisi katika Ufaransa, Poland na Ujerumani. Katika Mission Berlin, mchezaji huyo na mhusika mkuu Anna wanakabiliana na maadui wa Ujerumani iliyoungana.

Pata Mission Berlin kama Podcast

Tumia vipindi vyetu vya kusilikiza kwa darasa lako au kwa kujifunza binafsi na ujisajili kwa matukio yote ya Mission Berlin!